HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 12, 2008

Wanja La Muda La Mzee Wa Libeneke,MICHUZI

Wadau kunradhi,
---------------

Kutokana na matatizo ya kiufundi aliyonayo host wa globu ya jamii, tutaendeleza libeneke kwa muda kama kawa kupitia
michuziblog.blogspot.com hadi hapo mambo yatapokuwa mswano.

Wadau nawaomba Msikonde wala nini haya ni mambo ya kawaida ikiwa ni katika kuboresha huduma maana sasa
www.michuzi-blog.com ni website kamili na itafanya vitu maradufu ya awali.

asanteni kwa uvumilivu na kunradi kwa usumbufu ilo nje ya uwezo wetu.

Michuzi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad