HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 13, 2008

Sio Bongo Tu,Hata Huko Yapo Haya

Mdau David aliyoko kwa Bibi, alitembelea nchini China hivi karibuni na kutuletea picha hii na kutuambia sio bongo tu kunakoongoza kwa mambo haya hata huko pia yapo.
Ahsante sana kaka David kwa picha hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad