hivi ni lini hawa wanachi wa vijijini wataondokana na maisha haya?hebu angalieni huyu mtoto ambaye kwa umri alionao alitakiwa awe shule lakini ndio kwanza yuko machungoni kwa sasa.
No comments:
Post a Comment