Rais Jakaya Kikwete akikagua ujenzi wa daraja linalounganisha nchi ya Msumbiji na Tanzania katika kijiji cha Mkenda kivukoni kata ya Mitomoni,wilaya ya Songea vijijini jana jioni. kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mh. Monica Mbega
No comments:
Post a Comment