HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 10, 2008

Rais Kikwete Nchini Japan

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaaga wafanyakazi wa kampuni ya Kyocera katika mji wa Yokohama,Japan muda mfupi baada ya kutembelea makao makuu ya kampuni hiyo leo.Kampuni hiyo inayojishughulisha na teknologia ya mawasiliano ya wireless kwa simu na internet imewekeza nchini Tanzania na inampango wa kupanua na kusambaza shughuli zake kote nchini.Akizungumza wakati wa ziara yake katika kampuni hiyo Rais Kikwete aliihimiza kampuni hiyo kuongeza kasi ya uwekezaji nchini ili kuongeza nafasi za ajira kwa Watanzania na kuongeza ufanisi wa teknolojia ya mawasiliano.Picha na Freddy Maro/Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad