JIBU NI KWAMBA BLOG YA JAMII IPO KAMA KAWA NA INAENDELEZA LIBENEKE LAKE KAMA KAWA,ILA SEMA KWA SIKU YA LEO IPO KATIKA MAREKEBISHO ILI KUIBORESHA ZAIDI NA ITAKAPO KAMILIKA ITARUDI HEWANI KAMA KAWA NA LINK YAKE ILEILE MPYA YA www.michuzi-blog.com NA SI ILE YA www.issamichuzi.blogspot.com KAMA ILIVYOKUWA HAPO AWALI.KWA HIYO WADAU MSIWE NA WASIWASI WALA NINI KWANI MAMBO YATAKUWA MAZURI HIVI PUNDE TU NA SI KWAMBA WANAIJERIA WAMEVAMIA TENA.
No comments:
Post a Comment