HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 20, 2008

Rais Kikwete Akiwa Wilaya Ya Muheza

Rais Jakaya Kikwete akiwa amevalia vazi la kijadi pamoja na kushikilia silaha za kijadi baada ya kuvikwa na wazee wa wilaya ya Muheza katika uwanja wa Kacheba,wilayani Muheza
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete wakiaangalia watoto waliokuwa wanacheza ngoma za utamaduni katika viwanja vya Kacheba wilayani Muheza,Mkoani Tanga jana.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku kumi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad