Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda,akiwa na Mh. Hamad Rashid (nyuma) Mbunge wa Wawi na kiongozi wa upinzani Bungeni,kwa pamoja wakimfariji Mbunge wa Viti Maalum Severine Mwijage(kulia) ambaye amefiwa na binti yake Stella na dereva wake Anderson Kaindoa katika ajali ya gari ilyotokea Julai 18,2008 karibu na Gairo,Dodoma.Waziri Mkuu alijumuika na waombolezaji Julai 19,2008,nyumbani kwa mbunge huyo,Area C,Dodoma kuhudhuria ibada ya na kutoa heshima za mwisho kwa marehemu hao.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Sunday, July 20, 2008
Home
Unlabelled
Mbunge Severine Mwijage Afiwa na Binti Yake
Mbunge Severine Mwijage Afiwa na Binti Yake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment