HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 8, 2008

Rais Kikwete Ahudhulia Mkutano Wa G8 Nchini Japani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais George Bush wa Marekani wakiwa katika Mkutano na Waandishi wa Habari huko Hokkaido, Japan ambapo Rais Bush alitangaza rasmi kumualika Rais Kikwete kuitembelea Marekani.Rais Kikwete yupo nchini Japan kuhudhuria mkutano wa G8.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na waziri mkuu wa Japan Mh. Yasuo Fukuda muda mfupon kabla ya kuanza mkutano wa G8 hoteli ya Windsor, Toyako, Japan

2 comments:

  1. Huyu raisi kwa ujiko, anapenda sana kujikomba huyu jamaa. Na mizungu ndio hapo inapopata mwanya wa kurudisha ukoloni mamboleo.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad