HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 2, 2008

Msaada Kwenye Tutazz Kutoka Kwa Mkuu Wa Libeneke Issa Michuzi

WANAKIJIJI WENZANGU

KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MSAADA KWENYE MATUTA HAYO MAWILI.


1.NAOMBA MNITANGAZIE KUPITIA BLOG ZENU TUKUFU KWAMBA KUANZIA JUMATANO HII SAA SITA USIKU KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI ANUANI YA BLOG YANGU INABADILIKA TOKA
issamichuzi.blogspot.com NA KUWA http://www.michuzi-blog.com/ ILA MUONEKANO WA BLOGU YANGU UTAENDELEA KUWA ULE ULE BILA MABADILIKO ZAIDI YA KUONGEZA HUDIUMA IKIWA NI PAMOJA NA ZA VIDEO


2.NAOMBA PIA MNITANGAZIE KWAMBA NIMEANZISHA AINA YA YOUTUBE YA KIBONGO ITAYOENDA KWA JINA LA www.bongotyube.com LENGO LIKIWA NI LILE LILE LA KUWAPA FURSA WADAU KUTUMA VIDEO ZAO ILI ZIONEKANE NA KILA MDAU ULIMWENGUNI.

NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU KWA USHIRIKIANO HUKU NIKIOMBA MAONI NA USHAIRI WA KUBORESHA HUDUMA HIZO MBILI.

WENU KATIKA KUENDELEZA MAWASILIANO YA TEKNOLOJIA YA KISASA

MUHIDIN ISSA MICHUZI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad