HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 2, 2008

Kaseba Atetea Ubingwa Wake

Bingwa wa Dunia wa mchezo wa Kick Boxer Joseph Kaseba, akiwa na mkanda wa ubingwa wa dunia unaotambuliwa na Chama cha Kickboxing Ulimwenguni (WKL), mara baada ya kumdunda mpinzani wake, Ricky Agayas kutoka Ufilipino katika raundi ya pili, katika ukumbi wa Diamond, Jubilee holi, jijini Dar

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad