HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 19, 2008

Mr Paul:Muziki Umeniwezesha kuwa Ofisa Nchi Za Watu

jina la Mr Paul si geni masikioni mwetu hasa kwa wale wapenzi wa miziki ya taradibu hapa kwetu Bongo,maana hata ukikutana na mtoto mdogo na kumuuliza unamjua Mr Paul atakwambia ndio namjua si yule aliyeimba wimbo wa Zuwena?.msanii huyu kwa sasa yupo nchini Australia akiwa anajishughulisha na shughuli zake zake za muziki kidogo huku akiendeleza libeneke la kazi katika taasisi ya Aboriginal an torres staight islandel Health akiwa kama Program Cooardinator. Mr Paul kwa sasa ana mke anaye fahamika kwa jina la Natascha klocker(aliyenaye pichani),na kutokana na ukimya wake kwa muda mrefu,kaka Pius wa kijiji cha Spoti na Starehe ilibidi amtafute na kufanya nae mahojiano yanayopatikana kwa kubofya hapa.

1 comment:

  1. Kaka nimetembelea huyu jamaa wa Spoti mahojiano mazuri sana sana,ila nimeshindwa jinsi ya kuweka maoni kule teh teh the, nimefurahia naona kama namsikia jamaa nanimeburudika na kibao Zuwena siku nyingi,
    Ushauri wangu tuongezee mahojiano mi ni mpenzi sana wa burudani nakuunga mkono kaka.
    Il uwashauri warudi nyumbani wawekeze walao tupate vibarua.
    Mgeni Shoo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad