mkuu wa nanihii ya nanihii akihojiwa na na mwandishi wa habari toka Shirika la Habari Tanzania (TBC1) huko zenj katika ZIFF , swali likiwa ni kwa nini yuko nje ya kituo chake cha kazi katikati ya wiki?hii ni kwa mujibu wa mleta habari hii Mdau Dean wa ZIFF.

No comments:
Post a Comment