KUTOKANA NA HABARI NILIZOZIPATA HIVI PUNDE AMBAZO MPAKA SASA BADO HAZIJATHIBITIKA RASMI,NI KWAMBA RAIS WA ZAMBIA MH.LEVY MWANAWASA AMEFARIKI DUNIA HUKO UFARANSA ALIKOKUWA AMEKWENDA KIMATIBABU.RAIS MWANAWASA AMBAYE AMEKUWA AKIUGUA KWA MUDA MREFU,SIKU ZA HIVI KARIBUNI ALIAMUA KWENDA NCHINI UFARANSA KWA KWA MATIBABU ZAIDI JUU YA MARADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA KWA MUDA MREFU. TUTAENDELEA KUJUZANA NINI KINACHOENDELEA HAPO BAADAE.
No comments:
Post a Comment