Msanii wa kizazi kipya Chid Benzi akimlisha keki mtoto kuonyesha upendo wa pamoja
Wadau jana ilikuwa ni siku ya mtoto wa Afrika,ambapo taasisi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Mitindo House jana jioni iliandaa hafla ya pamoja na watoto waishio katika mazingira magumu na wenye virusi vya ukimwi katika hoteli ya Peacock,Millenium tower kijitoma.Katika hafla hiyo wageni mbalimbali waliolikwa katika hafla hiyo wakiwemo walimbwende, wasanii wa muziki wa kizazi kipya,mabalozi na wengine na wengine wengi.picha zote ni kwa hisani ya junior mwenzangu mmiliki wa Jiachie Blog.
No comments:
Post a Comment