Balozi wa Palestina nchini Yusouf Habbab (kushoto) na Mkurugenzi wa kampuni ya Summer Mix Sarah Mohamed na nyuma kulia ni mgeni rasmi Afisa ustawi wa jamii wa manispaa ya Kinondoni Bi Asha Mbarouk na Mbunifu wa mavazi Mama Asia Idarious wakiwa katika picha ya pamoja na watoto waishio katika mazingira magumu katika hafla ya kuadhimisha siku ya mtoto wa afrika iliondaliwa na taasisi isiyo ya serikali Tanzania Mitindo House na kufanyika jana jioni kwenye hoteli ya Peacock,Millenium tower Kijitonyama.
Pichani ni meza kuu.Kushoto ni balozi wa Palestina nchini Yosouf Habbab,Afisa ustawi wa jamii wa manispaa ya Kinondoni Bi. Asha Mbarouk ambaye alikuwa mgeni rasmi pamoja na walezi wa watoto hao kutoka vituo mbalimbali
No comments:
Post a Comment