Jeneza lililokuwa na mwili wa Marehemu Said Shamte,aliyepatwa na mauti baada ya kufukiwa na kifusi cha jengo lililoporomoka siku ya jumamosi ya wiki iliyopita katika mtaa wa Kisutu,amezikwa jana jioni katika makaburi ya kijijini kwao Rungungu,Rufiji mkoani Pwani.picha na Yusuf Badi wa TSN/Habari Leo.
No comments:
Post a Comment