HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 15, 2008

Uanaume Kazi Jamani

ukiwa mwanaume ujue ni kazi mtindo mmoja,na ili uamini ninachosema basi iangalie hii picha kwa uzuri zaidi ndipo utakapo amini ninachosema.picha kwa hisani ya mdau Zacharia wa kule kijiji cha jamii cha fotobaraza.

1 comment:

  1. Duh... ama kweli mtaji wa masikini ni nguvu zake. Huyu jamaa naona kabeba gunia mbili za mkaa kwa mkupuo.

    Mama

    ReplyDelete

Post Bottom Ad