hii ni shilingi mia moja ya noti(jiti)
hii ni shilingi hamsini ya noti (fyuu)
hii ni shilingi ishirini ya noti (mbau)
hii ni shilingi kumi ya noti(nimesahau iliitwaje kipindi kile)kwa mapicha mengi zaidi ya hela zetu za zamani waweza zama katika kijiji cha jamii cha fotobaraza kupitia ukurasa wa ndugu yetu Lereu ambaye ametuletea kumbukumbu hii.

No comments:
Post a Comment