HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 10, 2008

Raha Ya Mvua Jijini

barabara ya bibi titi mohammed rodi ikiwa imejaa maji
ni mweno wa kutembea na miguu viatu mkononi kama hivi

mtaa wa nanihii nao ulijaa maji kama kawaida yake
siku ikinyesha mvua dar,basi ujue mambo huwaga yanakuwa hivi na si vinginenevyo.tunaposema bongo tambarale ujue ni tambarale kweli na si masihara.





2 comments:

  1. Jamani maji yanajaa kiasi hicho hawa city planners hawaoni hiyo? Drainage system vipi? Ama kweli bongo tambalale!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. dar jamani hiyo ndio dar sehemu ani mbona balah sasa duhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete

Post Bottom Ad