
barabara ya bibi titi mohammed rodi ikiwa imejaa maji

ni mweno wa kutembea na miguu viatu mkononi kama hivi
.jpg)
mtaa wa nanihii nao ulijaa maji kama kawaida yake
.jpg)
siku ikinyesha mvua dar,basi ujue mambo huwaga yanakuwa hivi na si vinginenevyo.tunaposema bongo tambarale ujue ni tambarale kweli na si masihara.
Jamani maji yanajaa kiasi hicho hawa city planners hawaoni hiyo? Drainage system vipi? Ama kweli bongo tambalale!!!!!!!!
ReplyDeletedar jamani hiyo ndio dar sehemu ani mbona balah sasa duhhhhhhhhhhh
ReplyDelete