ALIYEKUWA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA DR.DAUDI BALALI (PICHANI) AMBAYE ALIFARIKI DUNIA SIKU MBILI ZILIZOPITA HUKO BOSTON, MAREKANI, ANATARAJIWA KUZIKWA SIKU YA IJUMAA HUKO HUKO BOSTON.
HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA MAREKANI NA NDANI YA BENKI KUU AMBAKO TAYARI MSIBA HUU MZITO UMESHATANGAZWA RASMI, ZINASEMA HAYATI BALALI ALIFARIKI BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU.
that's way too cool.
ReplyDelete