kajikamera ka mnyambala huyu leo kamekutana na mla vichwa wa asili pale maeneo ya viwanja vya mnazi mmoja gaden,akikamua kama kawa kwenye saloon yake isiyo na gharama.nyote mnakaribisha
No comments:
Post a Comment