hizi gari enzi zake zilitikisa sana miji mingi hapa kwetu bongo na kwingineko na hadi leo inaonekana iko bomba tu,hapo popote inakwenda bila tatizo lolote.ama kweli cha kale gold
No comments:
Post a Comment