
watoto wakiufurahia msimu huu wa krisimasi,nilipowauliza kwa nini mnafurahia msimu huu waliniambia kuwa wanafurahia kwa sababu wananunuliwa nguo mpya na ukiangalia ni kweli msimu huu ni wakupendeza kwa watoto wote popote pale nchini.safi sana nami nawatakiwa watu wote krismas njema na heri ya mwaka mpya
No comments:
Post a Comment