leo nimepita jirani na huyu afande pale samora na azikiwe na kumkuta kafungwa hivi nikajiuliza sana lakini jibu sikuweza kulipata,hivi inaweza kuwa kuna mtu kamfunga au ni upepo tu ndio ulisababisha halii hii?
No comments:
Post a Comment