HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 23, 2007

Usafi Wa Hivi Ni Hatari

katika pitapita zangu mtaa fulanifulani,nilibahatika kukutana na huyu bwana ambaye alikuwa akijaribu kutafuta mfuniko wa chamber ili aruhusu maji haya machafu yaweze kwenda.cha ajabu ni kwamba huyu bwana hakuwa na kitu chochote cha kujizuia kiafya kutokana na kaazi hiyo na hali kila mtu anajua kufanya kama hivi ni hatari kiafya

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad