kampuni ya magari aina ya toyota, jana usiku walizindua gari nyingine aina ya toyota land cruiser 200 vx & gx ndani ya viwanja vya hotel ya kirimanjaro kempiski,na ilhudhuliwa na wageni mbalimbali
msanii wa muziki wa kizazi kipya anayefahamika kwa jina la elika akinadisha gari hiyo kwa waliohudhulia uzinduzi katika hotel ya kempiski
vijana wa kutoka katika nyumba ya vipaji tanzania a.k.a T.H.T wakiwaburudisha wageni waalikwa katika hafla hiyo ya toyota katika hotel ya kempiski kwa ustadi wa hali ya juu.picha kwa hisani ya jiachie blog

No comments:
Post a Comment