juzi kati nilibahatika kwenda kutembelea mbuga ya wanyama ya ruaha na kukuta wapendanao hawa wakiwa pamoja.nilifurahi sana kuwakuta wakiwa hivi kwani sikuwahi kuwaona wakiwa pamoja tangu nipoanza kuwa mtalii
No comments:
Post a Comment