leo ndio leo ndani ya ukumbi wa daimond jubilee holi,kutakuwa na mpambano mkali wa kugombea mkanda wa dunia wa kickboxing kati ya bondia wetu Japhet Kaseba na mdosi Abhjijeet Petkar.inatakiwa tufike mahala hapo ili tumpe tafu msela wetu,mtanzania mwenzetu na mtetezi wetu Japhet Kaseba leo diamond
No comments:
Post a Comment