kesho tarehe 1.12.2007 ndio siku ya kinyang'anyiro cha kumsaka miss world na dada yetu richa adhia ndiye anayeiwakilisha nchi yetu ya tanzania katika kinyang'anyiro hicho.inatakiwa tumtakie kila la kheri dada yetu richa aweze kurudi na ushidi
No comments:
Post a Comment