mwanamuziki wa miondoko ya bongo frava anayekwenda kwa jina la ambwene yesaya a.k.a ay,jana ameuwa ndege watatu kwa jiwe moja yaani amezindua website,pamba za kufa mtu na albam ya "undani wangu".picha kwa hisani ya wanja la mkuu issa michuzi
No comments:
Post a Comment