LEO hii patashika nguo kuchanika, ligi mbalimbali Duniani bado zinaendelea na wewe bado una nafasi ya kutusua mkwanja vilevile. Je unangoja nini sasa?. Tengeneza jamvi la ushindi leo.
Pale EPL kitawaka haswa ambapo Tottenham atamleta kwake Conventry ambao wamepanda daraja msimu huu wakiwa wanashika nafasi ya 14 wakiwa na pointi zao 6 hadi sasa, huku Spurs wao wakiwa nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi.
Vijana wa De Zerbi wanahitaji kupata ushindi wao wa kwanza kwenye mechi hii ya leo wakiwa nyumbani kwao kwani mpaka sasa kwenye mechi zao 6 walizocheza wamepata pointi 3 pekee kitu ambacho wanatakiwa kubadilika haraka sana.
Coventry wametoka kupata ushindi wao wa kwanza EPL tena kwa kishindo kabisa chini ya Frank Lampard kwahiyo huu utakuwa ni mchezo ambao sio rahisi kwa timu zote mbili, kwani kila timu inajitafuta na inataka kupata ushindi haraka sana.
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.
Jinyakulie mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kule LALIGA pia kuna mechi ambapo Getafe ataumana dhidi ya Rayo Vallecano ambapo huu ni mchezo wa ushindani mkubwa zaidi huku kila timu ikihitaji kupata ushindi mnono siku ya leo.
Getafe inaweza kutegemea faida ya kucheza nyumbani, kucheza kwa ukabaji mkali na kutumia mipira ya juu pamoja na mipira iliyokufa kutafuta mabao. Hata hivyo, itahitaji umakini mkubwa ili kuepuka kupoteza mipira katika maeneo hatari.
Rayo Vallecano inaweza kujaribu kutumia kasi ya washambuliaji wake, kushambulia kupitia pembeni na kutumia nafasi zitakazopatikana wakati Getafe inapopanda mbele. Changamoto yake itakuwa kuvunja ulinzi wa Getafe na kuhimili presha ya wenyeji.
Mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na ushindi hivyo hii ni mechi ya kisasi kwa mwenyeji. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa.
Pia kule Italia SERIE A itaendelea huku mechi za kubashiri zikiwa zinakungoja wewe pekee, ni Parma dhidi ya Torino ambapo tofauti yao hadi sasa ni 3 ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 18 na mgeni wake yupo nafasi ya 12.
Mechi iliyopita mwenyeji alipigika hivyo leo hii ni kufa na kupona anahitaji pointi tatu kwenye mechi hii ya leo, huku mgeni wake akishinda mechi iliyopita kwa kishindo. Je nani kuondoka kifua mbele?. Suka jamvi hapa.


No comments:
Post a Comment