HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 15, 2026

Mshindi wa Jackpot Aelezea Furaha Yake


KUTOKA Mtwara mpaka Dar es salaam, Bwana Ally Selemani Mohamedi ametinga kuchukua mshiko wake wa Jackpot wa Milioni 200 ambao ameupata kwa kubashiri na USSD au Kitochi kwa kupiga *149*10#

Leo hii ya tarehe 15 Oktoba 2026, Meridianbet imempokea bingwa wa Jackpot ya shilingi Milioni 200 ambayo imempa furaha isiyo kifani huku nawe unaweza ukawa mshindi kwa kubonyeza *149*10#.

Kwa jina anaitwa Ally Selemani Mohamedi kutokea mkoani Mtwara ambaye moja kwa moja aliweza kupigiwa simu na kuambiwa kuwa yeye ndiyo mshindi wa kwanza kutokea wa Jackpot hii toka ianzishwe ambapo alitokwa na machozi ya furaha kusikia habari hizi.

Kumbuka kuwa Meridianbet wana Jackpot kubwa mbili, Yaani Jackpot ya Milioni 200 hii ni ya USSD na ile Jackpot baba lao kabisa ya Bilioni 2 ambayo hii ni ya Online lakini zote unaweza kubashiri kwa dau la shilingi 500/= pekee.

Ukiachana na mshindi huyo, unaweza ukatengeneza pesa kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ndugu mteja hauhitaji dau kubwa ili uweze kuvuna mkwanja mrefu wa Jackpot kama alivyofanya Bwana Ally, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza *149*10# na kuanza safari yako ya ushindi siku ya leo na huenda maisha yako yakabadilika kabisa.

Kutokana na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia na ujio wa AI( Akili Unde) imerahisisha sana namna ya kubashiri na kukuwezesha kujishindia pesa kirahisi hivyo haina haja ya kuumiza kichwa kama alivyofanya mshindi wetu huyu.

Ukiingia kwenye USSD kwenda kubashiri Jackpot kuna machaguo unaletewa kwamba unataka kubashiri kwa Manual Bet, Safe Bet au Feeling Lucky kwa jina lingine AI ambapo hili chaguo ndilo lililompa utajiri huu mshindi wetu kutoka Mtwara.

Feeling Lucky(AI) hili ni chaguo ambalo mteja wala haumizi kichwa kufanya ubashiri kwani anakuta tayari AI imeshambetia mechi zake anachotakiw akufanya yeye ni kuweka dau na kubonyeza neno bet na anakuwa tayari ameshabeti kwahiyo anakuwa anasubiri tuu mechi zichezwe na kusubiri matokeo hapo baadae.

Bwana Ally hakuweza kuamini kama kweli angeweza kuwa mshindi na ile siku aliyokuwa anaisubiri hatimaye imefika ambapo leo hii ameweza kukabidhiwa pesa zake hizo na kuishukuru sana Kampuni ya Meridianbet kwa kuweza kumtangaza kuwa mshindi kwani watu wengi pia hawakuamini alivyowaambia kuwa ameshinda.

Lakini pia aemongeza kwa kusema kuwa atazitumia pesa hizo kwaajili ya kuboresha maisha yake na familia yake kwani Meridianbet wameweza kutimiza ndoto zake ambazo alikuwa akiziota kwa muda mrefu.

Na wewe mteja wa Meridianbet bado usikate tamaa huenda leo ikawa ni bahati yako, mechi kibao zinakungoja wewe, ushindi ni nje nje. Usisubiri kupitwa na mkwanja wa maana, ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad