HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 3, 2026

Naibu Waziri Lundo atembelea banda la Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji

 

 Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dennis Londo, ametembelea banda la Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji katika maonesho ya Sabasaba 2026 na kupata maelezo kuhusiana na Majukumu na utendaji kazi wa Ofisi hiyo na kukabidhiwa Mfuko wenye ujumbe wa Dira 2050 Wekeza Tanzania.

Aidha, Naibu Waziri Dennis Londo amepongeza utendaji kazi wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uwekezaji na kuanza kwa utekelezaji wa Dira 2050 ikiwa ni injini ya kukuza uchumi wa Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad