HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 27, 2026

Zawadi Kubwa Za Kasino Mtandaoni Zipo Expanse Tournament

 


UMETEMBELEA Kasino Mtandaoni ya Meridianbet leo? Nakushauri tu ufanye kuingia kwani utafurahi mwenyewe. Promosheni ya Shindano la Expanse bado inaendelea na huenda leo ni nafasi yako ya kushinda. Jisajili hapa ushinde bonasi za kasino kibao.

Promosheni hii ya Expanse Tournament inatoa mgao wa mamilioni ya kutosha, kuna bonasi kubwa sana za kasino, huku ukiibuka mshindi unaondoka na kitita cha mamilioni. Cheza michezo ya kasino kwa dau la kuanzia Tsh 2,000/=

Promosheni hii imeanza Juni 21 hadi June 30, 2026 ambapo, bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wameongoza kwenye msimamo wa washindi baada ya kutamatika kwa mashindano haya ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Promosheni inafanyika katika mtindo wa mashindano ya wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni pamoja na Pia Premium, 100 Super Icy, Wild Icy Fruits, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Meridian Icy Fruits, Wild White Whale, Zombie Apocalypse na Candy’s Bonanza.

Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 20 watazawadiwa pesa taslimu kama ifuatavyo;

• Nafasi ya Kwanza: 2,500,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya Pili: 1,800,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya Tatu: 1,000,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya 4 na 5: 850,000 TZS Taslimu

• Nafasi ya 6 hadi 10: 300,000 TZS Taslimu

Na kuanzia nafasi ya 11 mpaka 20 watajishindia 150,000 TZS Taslimu

Usikae nyuma kusubiri wakati wachezaji wenzako wapo wanashangilia ushindi. Jisajili sasa na Meridianbet na uwe sehemu ya wale watakaoandika rekodi ya ushindi kupitia Expanse VIP Tournament.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad