
MICHUANO mikubwa Duniani inatarajiwa kuanza Alhamisi ya leo Kule Mexico ambapo waandaaji wa mashindano hayo watakuwa kibaruani dhidi ya timu kutoka Afrika, yaani Afrika Kusini. Nani kuanza vyema leo?
Je uanjua kuwa siku zote mechi ya ufunguzi wa michuano mikubwa Duniani daima huwa na umuhimu wa kipekee kwa sababu ndiyo inayoweka mwelekeo wa mashindano yote?. Lakini hii pia huwapa wachezaji morali kubwa kabisa kuelekea michezo yao inayokuja na kujitathamini.
Mchezo kati ya Mexico na Afrika Kusini unatarajiwa kuwa wa kuvutia kutokana na tofauti za mitindo ya uchezaji ya timu hizi pamoja na shinikizo la kutaka kuanza mashindano kwa matokeo mazuri lakaini pia zinakurtana timu mbili kutoka Mabara tofauti.
Wenyeji wa michuano hii, Mexico wanaingia katika mchezo huu wakiwa na faida ya kucheza mbele ya mashabiki wao, jambo ambalo linaweza kuwapa motisha kubwa kwani takribani kwa miaka mingi timu hiyo imekuwa na ushindani mkubwa huko barani Amerika Kaskazini. Jisajili leo.
Pesa ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Timu hiyo ina mchanganyiko wa wachezaji wenye vipaji vingi na hii ni kutokana na na wachezaji hao kucheza ligi mbalimbali kuanzia kule Uingereza, Urusi, Cyprus, Saudi Arabia, Hispania na ligi zingine pia.
Wakati kwa upande wa Afrika Kusini, wao wanakuja kama timu inayotafuta kuthibitisha uwezo wao kwenye mashindano haya makubwa na pia wanapewa nafasi ndogo tofauti na Mexico kwenye mchezo huu. Timu hiyo inayojulikana na Bafana Bafana wameonyesha uthabiti mkubwa miaka za hivi karibuni huku wakisifika kuwa na nidhamu ya ulinzi na kucheza kwa ushirikiano wa hali ya juu. Suka jamvi lako na uberti sasa.
Lakini vilevile kama wataweza kuhimili presha kwenye mechi hii ya ufunguzi dhidi ya wenyeji wa mashindano wanaweza kuifanya mechi hii kuwa ya mvuto na ya kusisimua zaidi.
Chini ya kocha mkuu Javier Aguirre, Mexico wanatarajia kuingia uwanjani kama wenyeji wa mashindano na kupata ushindi mnono kwani tayari wana kikosi chenye uwezo na nguvu ya kufanya hivyo. Lakini pia kupitia mechi za kirafiki ambazo mpaka sasa wamecheza imempa nafasi kubwa mwalimu kujua anatakiwa aanze na wachezaji wapi.
Huku kocha mkuu wa Afrika Kusini, Hugo Broos naye anaingia uwanjani akiwa na nia moja tuu ya kupata ushindi na kutopoteza mechi ya kwanza kwani naye ana mchangyiko wa wavhezaji wanaocheza ligi mablimbali, kama vile Uingereza, Afriika Kusini, Norway etc, hivyo anaweza akaingia na mbinu ya kujilinda kuliko kushambulia sana kwani hofu ya kupoteza mechi ya kwanza mara nyingi huweza kuathiri wachezaji.
Huu ni mpira wa miguu ambao mwamuzi ndiye atakeyamua ndani ya dakika 90 za mpira na yeyote ambaye atakuwa amejipanga ndiye ataibuka na ushindi mnono. Je nani kushinda leo?. Meridianbet wanampa nafasi kubwa mwenyeji, je wewe unampa nani?

No comments:
Post a Comment