Meridianbet wameendelea kuonesha kuwa wao ni zaidi ya burudani. Safari hii wamekabidhi msaada wa vyandarua maalumu kwa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni iliyopo Mabwepande, hatua iliyogusa mioyo ya wengi na kuleta tabasamu kwa wagonjwa pamoja na wahudumu wa afya.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Afisa Habari wa Meridianbet, Nancy Ingram, alisema kampuni hiyo imeweka mbele utamaduni wa kusaidia jamii na kuhakikisha maeneo yenye changamoto yanapata msaada unaohitajika. Alieleza kuwa Meridianbet wanaamini jamii yenye afya na matumaini ndiyo msingi wa maendeleo ya kweli.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Msaada huo umepokelewa kwa furaha kubwa na uongozi wa Hospitali ya Mabwepande, ambao umeeleza kuwa vyandarua hivyo vitasaidia kuboresha mazingira ya wagonjwa wodini na kuongeza faraja kwa watu wanaopata matibabu kila siku. Uongozi huo pia umepongeza moyo wa kujali uliooneshwa na Meridianbet kwa jamii ya Mabwepande.
Meridianbet wameendelea kujijengea heshima kupitia miradi mbalimbali ya kijamii. Kutoka kusaidia shule, vituo vya watoto yatima hadi hospitali, kampuni hiyo imekuwa ikionesha kuwa mafanikio ya biashara yanaweza kwenda sambamba na kusaidia jamii inayowazunguka.
Hii ni moja ya sababu zinazofanya Meridianbet kuendelea kuwa karibu na watu wa kila kizazi. Wakati wengine wakizungumza kuhusu mabadiliko, wao wanaendelea kuyafanya kwa vitendo, wakigusa maisha ya Watanzania na kuacha alama ya matumaini kila wanapofika.


No comments:
Post a Comment