
MECHI kibao za moto kupigwa siku ya leo huku wakali wa ubashiri wakiwa tayari wamekupa nafasi ya kushinda. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi leo.
EPL kuna mechi za kibabe mbili, Crystal Palace atakipiga dhidi ya Brighton ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee huku mara ya mwisho kukutana kati yao hakuna ambaye alikuwa mbabe. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani?. Suka jamvi hapa.
Na mechi kali Uingereza itakuwa ni hii ya Liverpool vs Manchester City mchezo ambao utapigwa katika dimba la Anfield. Tofauti yao hadi sasa kwenye ligi ni pointi 8 pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ijiweke kwenye nafasi ya ushindi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Bashiri hapa.
Ligi kuu ya Ufaransa yaani LIGUE 1 nayo itaendelea ambapo OGC Nice atamenyana vikali dhidi ya AS Monaco ambao kwenye ligi wanashika nafasi ya 10 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 13. Mara ya mwisho walipokutana, walitoka sare ya kufungana. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Suka jamvi hapa.
Tusua chap chap na michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pia naye Angers yeye atakipiga dhidi ya Toulouse ambao wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 11. Tofauti yao hadi sasa kwenye ligi ni pointi 4 huku wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mgeni. Je wewe unampa nani pesa yako?. Jisajili hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi, PSG atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Marseile ambao wapo nafasi ya 3. Vijana wa Enrique wanaingia uwanjani wakikumbuka mechi ya mwisho walipoteza hivyo leo hii wanahitaji ushindi. Je nani kuondoka na pointi 3 siku ya leo?. Tengeneza jamvi hapa.
SERIE A, kule Italia pia kuna mechi za kubashiri leo, Lecce atamualika Udinese kwake huku tofauti yao hadi sasa ikiwa ni pointi 14 hadi sasa. Mechi ya mwisho walipokutana kati yao mgeni aliondoka na ushindi. Hii ni mechi ya kisasi kwa mwenyeji. Je watataweza kushinda siku ya leo?. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Sassuolo dhidi ya Inter Milan ambao ni vinara wa ligi hadi sasa. Vijana hawa wa Christian Chivu wanahitaji ushindi mechi hii ili wajiweke sawa kwenye mbio za ubingwa za Serie A. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Hapo baadae kabisa Juventus atakipiga dhidi ya Lazio ambao wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii kujiweka sawa kwenye nafasi nzuri ya msimamo wa ligi. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Tandika jamvi hapa.

No comments:
Post a Comment