Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Makunduchi, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja waliohudhuria Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar Ndugu Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025
Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.



























No comments:
Post a Comment