HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 14, 2025

Rais Dkt. Samia ashiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) Addis Ababa nchini Ethiopia

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Makao Makuu wa Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 14 Februari, 2025.







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad