HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 6, 2024

RAIS WA ZANZIBAR AWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Mzee wa Chama Cha Mapinduzi Haji Machano alipofika Hospitali ya Mkoa Lumumba kuwatembelea wagonjwa mbalimbali, waliolazwa katika Hospitali hiyo ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 6-12-2024.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad