HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 8, 2024

MA DJS WAFUNIKA KWA KUTOA BURUDANI YA KUKATANA SHOKA BATA LA DISEMBA DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu, Michuzi tv

Mambo yalizidi kunoga katika uziku wa jana ambapo Ma DJS mbalimbali wenye uwezo wa hali ya juu hapa nchini walipoweza kukutanishwa katika jukwaa moja na kila mmoja kufanya shoo ya aina yake katika shoo kubwa ya kukatana shoka ya Bata la Desemba inayofanyika katika Viwanja vya Leaders Club kwa siku tatu mfululuzo.

Shoo hiyo ya aina yake ilipambwa na MA DJS wakubwa kama Dj Ally B, Dj Jowzey Mwokozi, Dj D mmy na wengine wengi kutoka Tanzania na nje ya Tanzania ambao walipata kufika katika viwanja hivyo vya leaders Club.

Shoo ya Djs imekuwa ya Tofauti sana kwani imeweza kukonga nyoyo za watu kwani kila Dj Aliweza kupanda jukwaani kuonesha uwezo wake tofauti tulivyozea katika shoo kama hizo kuona DJS wakipanda na wasanii .





























 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad