HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 10, 2024

WAKILI MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo Jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo Jijini Arusha.
Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki inavyofanyakazi alipotembelea Mahakama hiyo Jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki alipotembelea moja ya ukumbi wa Mahakama hiyo baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo Jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera (aliyesimama katikati), Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo, Mhe. Yohane Masara na watumishi wengine baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mahakama hiyo Jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kutembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kuona namna inavyotekeleza majukumu yake jijini Arusha.
Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kujionea jinsi Mahakama hiyo inavyotekeleza makujumu yake jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad