HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 26, 2024

MBUNGE WA CHALINZE AZINDUA MASHINA MANNE KITONGOJI CHA BWILINGU

 







Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua mashina mapya Manne (4) ya wanachama wakereketwa katika kitongoji cha Bwilingu. Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana. #KaziInaendelea #KampeniMtaa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad