BAADA ya wikendi hii kushuhudia mechi mbalimbali zikipigwa sasa ni muda wa ligi ya mabingwa Ulaya ambapo timu nyingi kuchezwa leo huku nafasi yako ya kutusua na Meridianbet ikiwa ni kubwa.
Mechi za UEFA mapema kabisa leo ni zile zinazopigwa majira ya saa moja usiku ambapo VFB Stuttgart baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza ugenini, leo atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Sparta Prague ambaye alishinda mechi yake ya kwanza. Nafasi ya ushindi leo amepewa Mjerumani kwa ODDS ya 1.40 kwa 6.46. Nani kushinda leo?. Suka jamvi lako hapa.
Huku naye Salzburg kutoka kule Austria ambaye naye alichezea kichapo mchezo uliopita, atakuwa dimbani kusaka ushindi dhidi ya Brest 29 ya Ufaransa. Mchezo huo utapigwa pale Red Bull Arena huku mgeni akisaka ushindi wa pili leo ugenini. Mechi hii imepewa ODDS 1.82 kwa 4.21. Kwenye jamvi lako unampa nani ushindi?. Jisajili hapa.
Je unajua kuwa nafasi ya kutajirika na Meridianbet ipo mkononi kwako?. Leo hii mechi za UEFA zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vijana wa Arteta Arsenal baada ya kulazimishwa sare mchezo wake wa kwanza, atakiwasha dhidi ya PSG ambao walishinda. Mechi ya mwisho kukutana timu hizi ilikuwa ni 2016 ambapo walitoa sare. Je nani kuondoka na ushindi pale Emirates?. Bashiri hapa.
Pia mabingwa watetezi wa Bundesliga Bayer Leverkusen watawakaribisha AC Milan ya Italia ambao walipoteza mchezo wa kwanza. Alonso na vijana wake wanataka kushinda leo wajiweke kwenye nafasi bora huku Fonseca na vijana wake hawataki kupoteza mechi ya pili mfululizo. Beti mechi hii yenye ODDS 1.62 kwa 4.80.
Piga mshindo wa maana kwenye mechi ya PSV vs Sporting Lisbon ambapo mwenyeji alishindwa kufurukuta kwenye mchezo wake wa kwanza. Lisbon yeye alishinda mechi yake ya kwanza. Kwa mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanampendelea Mholanzi kushinda kwa ODDS 2.55 kwa 2.60. Suka jamvi lako hapa.
Borussia Dortmund watamenyena dhidi ya Celtic huku timu zote zikiwa zimeshinda mechi zao za kwanza. Ni mtanage kati ya timu kutoka Ujerumani na Scotland na ODDS zao zikiwa ni 1.49 kwa 5.68. Je nani leo atadondosha pointi kati yao?. Jisajili hapa.
FC Barcelona ya Hans Flick baada ya kupoteza mchezo wa kwanza leo atachuana vikali na Young Boys Bern ambaye pia alipoteza mechi yake iliyopita. Historia inaonyesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana huku mgeni hapewi kabisa nafasi ya kushinda leo akiwa na ODDS 28.42 kwa 1.06. Tandika jamvi hapa.
Manchester City nao watakuwa ugenini leo dhidi ya Slovan Bratislava kusaka ushindi wao wa kwanza baada ya kulazimishwa sare mechi yao ya kwanza. Mwenyeji yeye alipoteza mechi yake ya kwanza ambapo leo hii kushinda kapewa ODDS 39.20 kwa 1.03. Beti hapa.
No comments:
Post a Comment