Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete anekutana na kufanya mazungumzo na Nimekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Tabia Mwita walipokutana katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar Es Salaam.
Waziri Mwita yupo Jijini Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Vijana na Amani unao loofanyika mjini hapa.
No comments:
Post a Comment