HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 19, 2024

UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUKUPA MAOKOTO LEO

  


LIGI ya mabingwa barani ulaya kukupa mkwanja leo kupitia michezo mikali ambayo inakwenda kupigwa katika viwanja mbalimbali usiku wa leo, Kupitia Meridianbet unaweza kubashiri michezo hii na kunyakua maokoto ya kutosha.

Michezo kadhaa inatarajiwa kuchezwa usiku wa leo kwenye ligi ya mabingwa ulaya ambapo wakongwe wa michezo ya kubashiri Meridianbet wakiwa wamejidhatiti kwelikweli kwani wamemwaga Odds za kutosha kwenye michezo hii.

Mchezo wa kibabe leo na wa kisasi utakua kati ya Manchester City Vs Inter Milan ambapo utarejesha kumbukumbu za fainali ya michuano hii mwaka 2023, Ambapo Man City waliibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri hivo leo Inter Milan watakua wanahitaji kulipa kisasi ni mchezo mzuri kuutazama lakini pia kutengeneza hela.

Borussia Dortmund wanafainali wa michuano ya hii msimu uliomalizika leo wanatupa karata yao ya kwanza kwenye michuano hii msimu huu wakiwa ugenini dhidi ya Club Brugge, Mchezo ambao Dortmund amepewa nafasi kubwa ya kuibuka na matokeo ya ushindi.

PSG wakiwa wameuanza msimu vizuri sana leo wakiwa nyumbani wanacheza mchezo wao wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Girona kutoka nchini Hispania, Mchezo ambao unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa lakini PSG wakitarajiwa kuendelea na moto waliouanza nao msimu huu.

Celtic kutoka nchini Scotland leo watamenyana na klabu ya Slovan Bratislava kutoka Slovakia mchezo ambao umepewa Odds bomba sana pale Meridianbet, Hivo kazi kwako kuwekau ubashiri wako uweze kunyakua kitita.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad