HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 1, 2024

TRA yashiriki MOI Marathon 2024

TRA yashiriki MOI Marathon 2024 kwa lengo la kuchangia matibabu ya magonjwa sugu pamoja na kutoa msukumo kwa watumishi wa Hospitali hiyo  kufanya mazoezi ili kujiepusha na magomjwa yasioambukiza .

Katika ushiriki huo TRA ni kutaka kufikisha ujumbe wa kuhamasisha wananchi kutoa na kudai risiti ili kuwezesha serikali kutoa huduma za matibabu kwa  wananchi wake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad