ALHAMISI ya leo kama kawaida mechi za EUROPA zinaendelea baada ya jana kushuhudia mitanange mizito ikipigwa. Nafasi ya kuibuka Milionea ni yako leo. Ingia na ubashiri sasa.
Mapema kabisa Fenerbahce atamkaribisha kwake Union St. Gilloise huku nafasi ya kuondoka na ushindi ndani ya Meridianbet akipewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.62 kwa 5.29. Mechi zote mbili za mwisho kukutana vijana wa Mourinho walipata ushindi. Je leo hii nani ataibuka mbabe?. Bashiri sasa.
Nao Malmo FC kutoka Sweden itakuwa na kibarua cha kukipiga dhidi ya Rangers ya Scotland. Mwenyeji anaongoza ligi kwako wakati kwa upande wa mgeni yeye anashika nafasi ya 3. Timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2021 ambapo Malmo aliibuka mbabe?. Je leo hii Rangers kwa ODDS ya 3.14 kwa 2.20 atalipa kisasi?. Jisajili hapa.
Nafasi ya kuondoka na kibunda mfukoni kwako unayo leo, timu kibao zipo dimbani kusaka ushindi. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Piga pesa mechi nyingine ya Ajax vs Besiktas ya kule Uturuki. Mwenyeji kwenye mechi 4 alizocheza kwenye ligi amekusanya pointi 7 pekee wakati kwa Mturuki yeye amecheza mechi zake 5 na kukusanya pointi 13. Mtanange wa mwisho walipokutana Ajax alishinda zote. Mechi hii imepewa ODDS 1.98 kwa 3.57. Bashiri mechi hii.
Halikadhalika naye Braga atakuwa na kibarua cha kumfunga Maccabi Tel Aviv. Ni mtanange mzito wa Ureno na Israel ambao utapigwa katika dimba la Municipal de Braga. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS ya 1.50 kwa 5.88. Wewe beti yako unampa nani?. Tengeneza jamvi hapa.
Huku Frankfurt ya Ujerumani watakuwa wenyeji wa Viktoria Plzen ambao kwenye ligi yao ipo nafasi ya 3 huku mwenyeji akiwa nafasi ya 4. Nafasi ya kushinda mechi hii kapewa 1.34 kwa 7.44. Suka jamvi lako na Meridianbet leo.
Mteja wa Meridianbet unaweza kubashiri mechi hii ya Lyon dhidi ya Olympiacos ya kule Ugiriki ambao wapo nafasi ya 3. Lyon kutoka Ufaransa yupo nafasi ya 14 huku kwenye mechi 5 alizocheza akipata pointi 4. 1.91 na 3.72 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Majira ya saa 4:00 usiku AS Roma atamenyana dhidi ya Athletic Bilbao ya Hispania ambapo Meridianbet wanampendelea sana Roma kuibuka mshindi leo akipewa ODDS 2.19 kwa 3.38. Mechi ya mwisho walikutana 2019 ambapo hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Jisajili hapa.
Vilevile Tottenham watakiwasha dhidi ya Qarabag FK, huku vijana wa Ange wakipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi wa ODDS 1.15 kwa 15.68. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2015 ambapo Spurs alishinda mechi zote mbili. Je leo hii Qarabag anaweza kulipa kisasi?. Suka jamvi hapa.
No comments:
Post a Comment